Nenda kwa yaliyomo

Kisumu Ndogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisumu Ndogo ni jina la mitaa miwili ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya.

Mmoja uko katika eneo la Kibera na mwingine huko Korogocho.