Nenda kwa yaliyomo

Kigezo cha viwango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigezo cha viwango ni namna au jinsi tungo inavyoweza kujidhihirisha katika viwango vikuu vinne (4). Viwango hivyo ni pamoja na:

  1. Kiwango cha neno
  2. Kiwango cha kirai
  3. Kiwango cha kishazi
  4. Kiwango cha sentensi

Kutokana na viwango hivyo vinne, tunapata aina kuu nne za tungo nazo ni:

  1. Tungo neno
  2. Tungo kirai
  3. Tungo kishazi
  4. Tungo sentensi

II Kigezo cha Muundo

[hariri | hariri chanzo]

Kutokana na kigezo hiki kuna aina kuu tatu (3) za tungo nazo ni:

  1. Tungo kirai
  2. Tungo kishazi
  3. Tungo sentensi

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigezo cha viwango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.