Kigezo cha viwango
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kigezo cha muundo)
Kigezo cha viwango ni namna au jinsi tungo inavyoweza kujidhihirisha katika viwango vikuu vinne (4). Viwango hivyo ni pamoja na:
- Kiwango cha neno
- Kiwango cha kirai
- Kiwango cha kishazi
- Kiwango cha sentensi
Kutokana na viwango hivyo vinne, tunapata aina kuu nne za tungo nazo ni:
II Kigezo cha Muundo
[hariri | hariri chanzo]Kutokana na kigezo hiki kuna aina kuu tatu (3) za tungo nazo ni:
- Tungo kirai
- Tungo kishazi
- Tungo sentensi
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigezo cha viwango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |