Gonzalo Garcia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Gonzalo Garcia (1556 - 1597) alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Pekupeku kutoka India na mmisionari aliyefia dini Japani .

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Ni wa kwanza kutangazwa kati ya wazaliwa wa India.

Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gonzalo Garcia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.