Nenda kwa yaliyomo

Fasihi ya Kiswahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitabu kiliandikwa na Shaaban Robert aliyekuwa "baba wa fasihi ya Kiswahili".

Fasihi ya Kiswahili ni fasihi ambayo huandikwa kwa lugha ya Kiswahili, hasa na watu wa Afrika Mashariki. Fasihi ya Kiswahili ni sehemu ya fasihi ya Kiafrika na fasihi ya Kibantu.

Mwandishi wa kwanza wa Kiswahili alikuwa Fumo Liyongo kutoka kisiwa cha Lamu (leo nchini Kenya) kati ya karne ya 9 na karne ya 10. Fumo Liyongo aliandika kwa Kingozi kilicho lahaja ya Kiswahili. Fumo Liyongo aliandika mashairi mengi kama "Sifa la Uta", "Utungo wa Ndoto" au "Wimbo wa Mapenzi".

Kitabu cha kwanza kilichogundulika kilikuwa Hamziya kwa mujibu wa Jan Knappert.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Fasihi ya Kiswahili inagawanyika katika sehemu nne: ushairi, hadithi, tamthilia na methali.

Waandishi wakuu wa fasihi wa Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Knappert, Jan (1982) 'Swahili oral traditions', in V. Görög-Karady (ed.) Genres, forms, meanings: essays in African oral literature, 22-30.
  • Knappert, Jan (1983) Epic poetry in Swahili and other African languages. Leiden: Brill.
  • Knappert, Jan (1990) A grammar of literary Swahili. (Working papers on Swahili, 10). Gent: Seminarie voor Swahili en de Taalproblematiek van de Ontwikkelingsgebieden.
  • Nagy, Géza Füssi, The rise of Swahili literature and the œuvre of Shaaban bin Robert (Academic journal)
  • Topan, Farouk, Why Does a Swahili Writer Write? Euphoria, Pain, and Popular Aspirations in Swahili Literature (Academic journal)
  • Lodhi, Abdulaziz Y. and Lars Ahrenberg (1985) Swahililitteratur - en kort šversikt. (Swahili literature: a short overview.) In: Nytt från Nordiska Afrikainstitutet, no 16, pp 18–21. Uppsala. (Reprinted in Habari, vol 18(3), 198-.)
  • The Political Culture of Language: Swahili, Society and the State (Studies on Global Africa)by Ali A. Mazrui, Alamin M. Mazrui
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fasihi ya Kiswahili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.