Fumo Liyongo
Mandhari
Fumo Liyongo (wakati mwingine Fumo Liongo) alikuwa askari na mwandishi wa mashairi katika pwani ya kaskazini ya Afrika Mashariki kati ya karne ya 9 na karne ya 13.
Aliandika gungu mengi kama "Sifa la Uta" au "Wimbo wa Mapenzi".
Katika mwaka wa 1913, mwandishi wa mashairi Muhamadi Kijumwa aliandika juun yake utenzi maarufu uitwao utendi wa Fumo Liyongo, utenzi ambao ulikuwa ukielezea maisha ya Fumo Liyongo, aliyekuwa mshairi na pia mtawala katika eneo la Pate [1]
Mistari yake
[hariri | hariri chanzo]Mwanangwa
Mwanangwa ni fili
Hafi kwa ulili
Hufa kwa jabali
Kwalo kondo kali.
Nijiwapo nime
Moyo usiname
Niwe gombe dume
Kiukisha mbuzi
Nife dondo wazi
Ndi Fumo wa Ozi
Fumo Liyongo
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Guanghui, Cao; Kai, Hu; Jun, Zhou (2014-01-31). "Efficient Image Scrambling based on any Chaotic Map". International Journal of Security and Its Applications. 8 (1): 343–354. doi:10.14257/ijsia.2014.8.1.32. ISSN 1738-9976.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- J. L. Mbele (1986). The Liongo Fumo Epic and the Scholars. In «Kiswahili», 53 (1-2), pp. 128–145.
- J. L. Mbele (1986). The Identity of the Hero in the Liongo Epic. In «Research in African Literatures», 17, pp. 464–473.
- J. L. Mbele (1989). The Liongo Epic and Swahili Culture. In «Weekend Magazine» (January 17, 1989), p. 23.
- Alice Werner, The Swahili Saga of Liongo Fumo (1926)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Liongo Fumo Ilihifadhiwa 31 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- African Mythology Ilihifadhiwa 28 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fumo Liyongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |