Abdilatif Abdalla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdilatif Abdalla (alizaliwa Mombasa nchini Kenya mwaka 1946) ni mwandishi na mwanasiasa.

Alifungwa gerezani [1] kwa kuunga mkono chama cha Kenya People's Union, pia ni mwandishi wa kitabu Sauti ya Dhiki na mshindi wa tuzo ya fasihi Jomo Kenyatta Prize for Literature.[2]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Abdilatif Abdalla alizaliwa katika mji wa Mombasa alikolelewa na babu yake Ahmad Basheikh bin Hussein. Abdalla alihudhuria elimu yake ya msingi huko Faza. Alianza kujishughulisha na siasa wakati akifanya kazi katika baraza la manispaa la mji wa Mombasa kama mhasibu msaidizi ambako huko aliandika kijitabu kilichoitwa Kenya twenda wapi kwa ajili ya kuunga mkono chama cha Kenya People's Union mwaka 1968.

Alihamia nchini Tanzania ambako alifanya kazi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama mtafiti wa lugha ya Kiswahili

Kazi zake[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdilatif Abdalla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.