Eneo Bunge la Kigumo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eneo Bunge la Kigumo eeneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matatu katika Wilaya ya Maragua, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Kariuki Karanja Njiiri KANU Mfumo wa Chama kimoja
1969 Munene J. F. C. KANU Mfumo wa Chama kimoja
1974 Njuguna Mwangi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1979 Njuguna Mwangi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1983 Francis Mwangi Thuo KANU Mfumo wa Chama kimoja
1988 Francis Mwangi Thuo KANU Mfumo wa Chama kimoja
1992 John B. Kirore Mwaura Ford-Asili
1997 Onesmus Kihara Mwangi Democratic Party (DP)
2002 Onesmus Kihara Mwangi NARC
2007 Jamleck Irungu Kamau PNU

Wadi[hariri | hariri chanzo]

Eneo bunge hili lina wadi tatu, zote ambazo huchagua madiwani katika Baraza la Mji wa Marague.

Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Kigumo 15,392
Kinyona 22,434
Muthithi 17,961
Jumla 55,787
*Septemba 2005 | [2],[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Wilaya ya Maragua Kigezo:Maeneo Bunge katika Mkoa wa Kati (Kenya)