Disc jockey
Mandhari
(Elekezwa kutoka Dj)
Disc jockey (kifupi "DJ") ni mtu anayeunganisha miziki kadhaa ikicheza, mara nyingi kwenye hadhira walio kwenye klabu au mtandao au kwenye matangazo. DJ huweza pia kutengeneza kandamseto zinazouzwa baadaye. Kwenye Hip hop "ma dj" hutengeneza midundo kwa kutumia piano, gitaa na "beats".
Mifano ya Ma-DJ
[hariri | hariri chanzo]- DJ Khaled ni mtayarishaji wa muziki na mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR.[1] Pia ni mwanachama wa kikundi cha muziki wa hip hop-Terror Squad, na amejisajili na Terror Squad Entertainment na Koch Records.[2]
- DJ Premier ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.
- DJ LYTMAS ni Disc jockey kutoka Nairobi, Kenya ambaye anaunda Kandamseto na kuziweka kwenye tovuti yake ya www.djlytmas.com[3]
- DJ Pooh ni mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop,[4] mwigizaji wa sauti, mghani, mwandishi muswada andishi,[5] mwigizaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani.[6][7]
- DJ Yella ni DJ, mtayarishaji wa muziki na mwongozaji wa filamu kutoka mjini Compton, California, Marekani.[8]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-31. Iliwekwa mnamo 2017-11-26.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-01. Iliwekwa mnamo 2017-11-26.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) Ilihifadhiwa 1 Novemba 2008 kwenye Wayback Machine. - ↑ "DJ LYTMAS - MIXTAPES". djlytmas.blogspot.com. Iliwekwa mnamo 2017-11-06.
- ↑ [Disc jockey katika Allmusic AllMusic ((( DJ Pooh > Overview )))
- ↑ DJ Pooh
- ↑ "Official website of Metro-Goldwyn-Mayer Inc. - Ars Gratia Artis". MGM.com. Iliwekwa mnamo 2017-04-18.
- ↑ By ELVIS MITCHELLNOV. 15, 2001 (2001-11-15). "FILM REVIEW; With Just a Hint of a Plot, Taking It Easy. Very Easy". New York Times. Iliwekwa mnamo 2017-04-18.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ [1]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- media kuhusu Deejays pa Wikimedia Commons