Nenda kwa yaliyomo

Kandamseto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Haramia ya kandamseto za awali yenye nyimbo 8 kunako mwaka wa 1974
Bweta la audio cassette

Kandamseto au kanda-iliyofanywa-mseto ni ainasafu ya jina lililotolewa kwa ajili ya nyimbo mchanganyiko zilizorekodiwa katika muundo wa sauti.[1]

Kandamseto, ambayo kikawaida hutumika kama jaribio la kimuziki kwa muandaaji wake, inaweza kupangwa kutoka katika orodha ya nyimbo anazozipenda, hadi mseto wa dhana ya nyimbo zinazofungamana na fasihi au hali ya kutaka kitu kile ambacho mlewanga anataka kusikiliza. [2] Kandamseto, nayo huhesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa hip hop.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mixtape". Merriam Webster. Iliwekwa mnamo 2012-04-04.
  2. Resnick, Michael (2006). "BurnLists: The Digital "Mix Tape" Comes Of Age". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-12-10. Iliwekwa mnamo 2007-01-15.

Soma zaidi[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:DJing

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kandamseto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.