Disc jockey
Disc Jockey (kifupi "DJ") ni mtu anayeunganisha miziki kadhaa ikicheza, mara nyingi kwenye hadhira walio kwenye klabu au mtandao au kwenye matangazo.
"Ma DJ" pia utengeneza kandamseto zinazouzwa baadaye. Kwenye Hip hop "ma dj" hutengeneza midundo kwa kutumia piano, gitaa na "beats".
Mifano ya Ma-DJ[hariri | hariri chanzo]

- DJ Khaled[1] ni mtayarishaji wa muziki na mtangazaji wa redio katika kituo cha redio ya WEDR.[2] Pia ni mwanachama wa kikundi cha muziki wa hip hop-Terror Squad, na amejisajili na Terror Squad Entertainment na Koch Records.[3]

- DJ Premier ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama DJ Premier, na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.
- DJ LYTMAS ni dijei kutoka Kenya mjini Nairobi ambaye ungani Mkandamseto na kuuziweka kwenye tovuti yake ya www.djlytmas.com[4]
- DJ PoohDJ Pooh ni mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani,[5]mwigizaji wa sauti, mghani, mwandishi muswaada andishi,[6] mwigizaji na mwongozaji wa filamu.[7][8]

- DJ Yella ni DJ, mtayarishaji wa mzuiki na mwongozaji wa filamu kutoka mjini Compton, California, Marekani.[9]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ http://www.blender.com/news/comments.aspx?article=9306[dead link]
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-10-31. Iliwekwa mnamo 2017-11-26.
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-11-01. Iliwekwa mnamo 2017-11-26. Archived 1 Novemba 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ DJ LYTMAS - MIXTAPES.
- ↑ [Disc jockey katika Allmusic AllMusic ((( DJ Pooh > Overview )))
- ↑ DJ Pooh
- ↑ Official website of Metro-Goldwyn-Mayer Inc. - Ars Gratia Artis. MGM.com. Iliwekwa mnamo 2017-04-18.
- ↑ By ELVIS MITCHELLNOV. 15, 2001 (2001-11-15). FILM REVIEW; With Just a Hint of a Plot, Taking It Easy. Very Easy.. New York Times. Iliwekwa mnamo 2017-04-18.
- ↑ [1]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
media kuhusu Deejays pa Wikimedia Commons
- Tovuti rasmi ya DJ LYTMAS