DJ LYTMAS

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
DJ LYTMAS
DJ LYTMAS.jpg
Jina kamili Merrick Alvids Owino
Jina la kisanii DJ LYTMAS
Nchi Kenya
Alizaliwa 03-07-1998
Aina ya muziki Dancehall
Kazi yake Disc Jockey,Mfanyabiashara
Miaka ya kazi 2016 - hadi leo
Ameshirikiana na Dabby K,Afriking Troxxie,[[Lydia

Wabs]]

Ala Serato,Virtual DJ
Kampuni Dapstrem Entertainment

Merrick Alvids Owino (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama DJ LYTMAS; amezaliwa 3 Julai 1998) ni Disc jockey, mfanyabiashara na mwanzilishi wa Dapstrem Entertainment pamoja na Dapstrem Radio kutoka Kenya. Kwa asili ni mtu wa kaunti ya Kisumu.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Dj Lytmas ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto watatu. Wengine ni Valary Dorsile na Miriam Wakesho.

Alizaliwa na kukulia mjini Ahero, karibu kidogo na jiji wa Kisumu, Kenya.

Akiwa na umri wa miaka kumi na tano alikutana na DJ Rickie ambaye kwa muda alikuwa akimwiga sana. Makutano hayo yalimpa Dj Lytmas nafasi kuandaa mseto wa dancehall kwa kutumia chombo maalum cha kuchanganya muziki kiitwacho Virtual DJ.

Masomo[hariri | hariri chanzo]

Dj Lytmas.jpg

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Dj Lytmas ameweza kutoa Kandamseto 46

Dj lytmas Kenya.jpg
Kandamseto za DJ LYTMAS zilizo na umaarufu
No. Jina Urefu
1. "Dangerspin Vol 1"   [51:15]
2. "Dangerspin Vol 2"   [36:25]
3. "Dangerspin Vol 3"   [1:50:52]
4. "Street Twerk Vol 1"   [08:44]
5. "Street Twerk Vol 2"   [24:07]
6. "Best of Vybz Kartel Mix"   [51:45]
7. "Best of Nicki Minaj Mix"   [30:20]
8. "Best of Konshens Mix"   [23:18]
9. "Best of Tarrus RileyMix"   [30:49]
10. "Best of Quavo vs Chris Brown"   [1:13:07]
11. "Dancehall Bashment Vol1"   [51:56]
[1]

Lebo binafsi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2016 mwezi wa Desemba Dj Lytmas alianzisha lebo yake iitwayo Dapstream Music iliyobadilishwa badaye ikawa Dapstrem Entertainment 5 Mei 2017[2] iliingiza wanamziki kama vile Dabby K, Rover Buoy, na Lydia Wabs

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: