Dapstrem Entertainment

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Dapstrem Entertainment
Dapstrem Entertainment Logo.jpg
Shina la studio "Zojak Worldwide","CD RUN"
Imeanzishwa 2016
Mwanzilishi DJ LYTMAS
Usambazaji wa studio "CD Baby"
Aina za muziki Kila Aina
Nchi Kenya
Mahala Kisumu,Kenya
Tovuti http://dapstrem.blogspot.com-www.dapstrem.com/

Dapstrem Entertainment ni Record label kutoka nchi ya Kenya.Lebo ilianzishwa mnamo mwaka wa 2016 ikawa maarufu Mei-2017 chini ya uongonzi Wa "Merrick" kwa umaarufu DJ LYTMAS

Historia[hariri | hariri chanzo]

Dapstrem Entertainment ulianzishwa 2016 chini ya DJ LYTMAS ikiitwa Dapstream Music.Ulianzishwa kama Lebo ya kibinafsi iliyosimamia ''Lytmas'' pekee.Mwaka wa 2017 ilianza kusimamia kazi ya msanii wa Reggae,Dabby K aliyesalijilishwa kama msanii wa kwanza kusimamiwa na lebo hiyo.

DJ Lytmas at Dapstrem Album Launching.jpg

Orodha Ya Wasanii[hariri | hariri chanzo]

Dapstrem Artists

Wasani Wa Juu Zaidi[hariri | hariri chanzo]

Vingo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Tovuti Facebook Twitter Instagram