2 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Desemba 2)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Desemba ni siku ya 336 ya mwaka (ya 337 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 29.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1804 - Napoleon Bonaparte anajiwekea taji la "Kaisari wa Wafaransa"
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1885 - George Minot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934
- 1968 - Lucy Liu, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1981 - Britney Spears, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1998 - Juice Wrld
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 537 - Mtakatifu Papa Silverio
- 1348 - Hanazono, mfalme mkuu wa Japani (1308-1318)
- 1547 - Hernando Cortes, mpelelezi kutoka Hispania
- 1987 - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970
- 2004 - Mona Van Duyn, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Habakuki, Viviana wa Roma, Pimeni wa Roma, Kromasi wa Aquileia, Papa Silverio n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |