Nenda kwa yaliyomo

Hanazono wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hanazono)
Mchoro wa Hanazono

Hanazono (14 Agosti, 12972 Desemba, 1348) alikuwa mfalme mkuu wa 95 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tomihito, na alikuwa mwana wa nne wa Fushimi. Mwaka wa 1308 alimfuata binamu yake Go-Nijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka 1318. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Daigo.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hanazono wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.