Bendera ya Zanzibar
Mandhari

(tangu Januari 2005)

baada ya mapinduzi hadi muungano na Tanganyika

Desemba 1963 hadi Januari 1964

Bendera ya kale, nyekundu sawa na ile ya Omani wakati ule. Kiasili ni bendera ya Sharifa wa Maka
Zanzibar ilhali ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipata tena bendera ya pekee tangu Januari 2005. Inaunganisha bendera ya Tanzania na ile ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ya mwaka 1964 iliyotumika kati ya mapinduzi ya Januari na muungano ya Zanzibar na Tanganyika wa tarehe 26 Aprili 1964.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Zanzibar ilikuwa na bendera yake tangu kuhamia kwa Sultani wa Omani kutoka Maskat kuja Zanzibar. Bendera nyekundu ilikuwa sawa na ile ya Sharifa wa Maka.
Baada ya kupata uhuru mwaka 1963 usultani uliongeza alama ya karafuu katika bendera yake.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Zanzibar yawa na bendera yake
- "Flags of the World" - Bendera za Tanzania na Zanzibar Ilihifadhiwa 22 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |