Azam TV
Jump to navigation
Jump to search
Azam TV ni kampuni ya matangazo ya televisheni iliyopo nchini Tanzania na inayomilikiwa na mfanyabiashara Saidi Salim Bakhresa.
Kampuni hii inarusha matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki na ya kati (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda n.k.).
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Azam TV kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |