Nenda kwa yaliyomo

Saidi Salim Bakhresa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Said Salim Bakhresa (alizaliwa Zanzibar mnamo mwaka 1949) ni mfanyabiashara mkubwa nchini Tanzania.

Ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa Bakhresa Group. Anajulikana sana katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa jumla. Pia ni mkurugenzi mkuu wa Azam Media Group.

Alipokuwa na umri wa miaka 14 aliacha shule ili kufanya kazi. Alianza na mgahawa tu na mwishowe kuwa na kampuni kubwa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saidi Salim Bakhresa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.