Azam Media Group

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azam Media Group ni kampuni inayomiliki king'amuzi cha Azam TV pamoja na vituo mbalimbali vya matangazo ya televisheni.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azam Media Group kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.