King'amuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
King'amuzi.

King'amuzi ni kifaa cha kielektroniki ambacho huwezesha mawasiliano kati ya runinga na satelaiti ili kuwezesha watu kuangalia chaneli mbalimbali ambazo zinaweza kuwa za bure au za kulipia.