Andrew Johnson
Mandhari
Andrew Johnson | |
Muda wa Utawala Aprili 15, 1865 – Machi 4, 1869 | |
mtangulizi | Abraham Lincoln |
aliyemfuata | Ulysses S. Grant |
tarehe ya kuzaliwa | Raleigh, North Carolina | Desemba 29, 1808
tarehe ya kufa | 31 Julai 1875 (umri 66) Elizabethton, Tennessee |
mahali pa kuzikiwa | Andrew Johnson National Cemetery Greeneville, Tennessee |
chama | Democratic |
ndoa | Eliza McCardle Johnson (m. 1827) |
watoto | 5 |
Fani yake | Fundi wa kushona nguo |
signature |
Andrew Johnson (29 Desemba 1808 – 31 Julai 1875) alikuwa Rais wa 17 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1865 hadi 1869. Alianza kama Kaimu Rais wa Abraham Lincoln na kumfuata Lincoln alipouawa.
Tazamia pia
[hariri | hariri chanzo]}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andrew Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |