Mkoa wa Kayseri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Kayseri
Maeneo ya Mkoa wa Kayseri nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 16,917 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,096,088 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 38
Kodi ya eneo: 0352
Tovuti ya Gavana http://www.kayseri.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/kayseri


Mkoa wa Kayseri ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Upo kwenye eneo la Anatolia, na umezungukwa na Mlima Erciyes, Mlima Hasan na Mlima Ali. Mlima umepewa jina kama hili ikiwa kama heshima tu kwake - kwa sababu aliomba kuishi katika eneo hilo.

Wilaya za mkaoni hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Kayseri umegawanyika katika wilaya 16 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kayseri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.