Mkoa wa Amasya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Amasya
Maeneo ya Mkoa wa Amasya nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 5520 (km²)
Idadi ya Wakazi 352,452 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 05
Kodi ya eneo: 0358
Tovuti ya Gavana http://www.amasya.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/amasya

Amasya ni moja kati ya mkoa wa Uturuki. Upo katika eneo la Mto Yeşil Kanda ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini mwa nchi. Una eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,520. Idadi ya wakazi ya mkoani hapa imefikia kiasi cha 352,452.

Mkoa wa Amasya

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Amasya umeganyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Amasya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.