Mkoa wa Balıkesir
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Maeneo ya Mkoa wa Balıkesir nchini Uturuki | |
|---|---|
| Maelezo | |
| Kanda: | Kanda ya Marmara |
| Eneo: | 12.496 (km²) |
| Kodi ya Leseni: | 10 |
| Kodi ya eneo: | 00266******* |
| Tovuti ya Gavana | http://www.balıkesir.gov.tr |
| Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/balıkesir |
Balıkesir ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki. Mkoa una mistari ya pwani mbili, ambao ni Bahari ya Marmara na Aegean. Mikoa inayopakana na mkoa huuu ni pamoja na Çanakkale kwa upande wa magharibi, İzmir kusini-magharibi, Manisa kwa upande a kusini, Kütahya kwa upande wa kusini-mashariki, na Bursa kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Balıkesir.
Wilaya za mkoani hapa [hariri]
Mkoa wa Balıkesir umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje [hariri]
- Governor's office: Balıkesir Valiliği
- Municipality: Balıkesir Belediyesi
- General
- Balıkesir Tourism Introduction
- Balıkesir Tourism
- Balıkesir Introduction
- Folklore
- Balıkesir University
- Balıkesir fotoğrafları (photographs)
- (Kiingereza) Pictures of the capital of this province
- (Kiingereza) Balıkesir Weather Forecast Information
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Balıkesir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |