Mkoa wa Giresun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Giresun
Maeneo ya Mkoa wa Giresun nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 6,934 (km²)
Idadi ya Wakazi 523,819 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 28
Kodi ya eneo: 0454
Tovuti ya Gavana http://www.giresun.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/giresun
Moja ya kijiji cha mkoani hapa

Giresun ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo katika pwani ya Bahari Nyeusi. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Trabzon kwa upande wa mashariki, Gümüşhane kwa upande wa kusini-magharibi, Erzincan kwa upande wa kusini, Sivas kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa magharibi. Mji mkuu wake ni Giresun.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Giresun umegawanyika katika wilaya 16 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Giresun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.