Mkoa wa Van

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Van
Maeneo ya Mkoa wa Van nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 19,069 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,012,707 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 65
Kodi ya eneo: 0276
Tovuti ya Gavana http://www.van.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/van


Van ni jina la mkoa mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki, kati ya Ziwa Van na mpaka wa nchi ya Iran. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 19,069 na jumla ya wakazi wapatao 1,012,707 .

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Van umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Van kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.