Mkoa wa Samsun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali katika Mkoa wa Samsun


Mkoa wa Samsun
Maeneo ya Mkoa wa Samsun nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 9,579 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,187,536 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 55
Kodi ya eneo: 0{{{kodi_ya_eneo}}}
Tovuti ya Gavana http://www.samsun.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/samsun

Samsun ni mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mkoani hapa ni 1,209,137 (2000). Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Sinop kwa upande wa kaskazini-magharibi, Çorum kwa upande wa magharibi, Amasya kwa upande wa kusini, Tokat kwa upande wa kusini-mashariki, na Ordu kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Samsun.

Wilaya za mkaoni hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Samsun umegawanyika katika wilaya 18 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Samsun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.