Mkoa wa Çanakkale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtazamo wa angani wa katikati ya jiji
Mkoa wa Çanakkale
Maeneo ya Mkoa wa Çanakkale nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 9737 (km²)
Idadi ya Wakazi 476,128 (TÜİK) TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 17
Kodi ya eneo: 0286
Tovuti ya Gavana http://www.çanakkale.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/çanakkale


Çanakkale ni jina la mkoa uliopo katika kanda ya Marmara huko nchini Uturuki. Mkoa upo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi. Mkoa umechukua jina la mji wake mkuu wa Çanakkale.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Çanakkale umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Çanakkale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.