Mkoa wa Adana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Adana
Maeneo ya Mkoa wa Adana nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Mediteranea
Eneo: 14030 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,983,188 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 01
Kodi ya eneo: 0322
Tovuti ya Gavana http://www.adana.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/adana


Mkoa wa Adana ni jina la mkoa nchini Uturuki, lenye kilomita za mraba zipatazo 14.030. Upo kwenye kanda ya Mediteranea kusini mwa Uturuki. Mikoa iliyokaribiana na mjini hapa ni pamoja na Mersin kwa upande wa magharibi, Hatay kwa upande wa kusini-mashariki, Osmaniye kwa upande wa mashariki, Kahramanmaraş kwa upande wa kaskazini-mashariki, Kayseri kwa upande wa kaskazini, na Niğde kwa upande wa kaskazini-magharibi. Mji wake mkuu ni Adana.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Adana imegawanyika katika wilaya 13:

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Adana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.