Mkoa wa Bolu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa Köroğlu katika manispaa ya Bolu
Mkoa wa Bolu
Maeneo ya Mkoa wa Bolu nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 7410 (km²)
Idadi ya Wakazi 270,417 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 14
Kodi ya eneo: 0374
Tovuti ya Gavana http://www.bolu.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bolu


Bolu ni mkoa uliopo kaskazini-magharibi mwa Kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki, upo katikati ya mji wa Istanbul na Ankara. Umechukua eneo la kilomita za mraba 7,410 na idadi ya wakazi takriban 270,417.

Mji mkuu wake ni Bolu.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Bolu umegawanyika 9 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bolu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.