Mkoa wa Elazığ

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Elazığ
Maeneo ya Mkoa wa Elazığ nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Mashariki
Eneo: 9,153 (km²)
Idadi ya Wakazi 595,307 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 23
Kodi ya eneo: 0424
Tovuti ya Gavana http://www.elazığ.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/elazığ

Elâzığ ni mkoa uliopo nchini Uturuki ambao pia mji mkuu wake ni Elâzığ. Idadi ya wakazi ni 595,307 kama jinsi ilivyohesabiwa hapo 2006. Idadi ya wakazi hapo awali ilikuwa 569,616 kwa mwaka wa 2000 na 498,225 kwa mwaka wa 1990. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 9,153, na 826 km² ambalo ni eneo la hifadhi na maziwa asilia.

Wilaya za mkaoni hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Elâzığ umegawanyika katika wilya 11 (mji mkuu umekoozeshwa):

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Elazığ kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.