Mkoa wa Aksaray
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Maeneo ya Mkoa wa Aksaray nchini Uturuki | |
|---|---|
| Maelezo | |
| Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
| Eneo: | 7,626 (km²) |
| Idadi ya Wakazi | 425,612 TUIK 2007 (est) |
| Kodi ya Leseni: | 68 |
| Kodi ya eneo: | 0382 |
| Tovuti ya Gavana | http://www.aksaray.gov.tr |
| Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/aksaray |
Aksaray ni mkoa wa kati nchini Uturuki. Mkoa huu unapakana na mikoa mingine kama vile Konya kwa upande wa magharibi na kusini yake, Niğde kwa upande wa kusini-mashariki, Nevşehir kwa upande mashariki, na Kırşehir kwa upande wa kaskazini. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,626. Mji mkuu wa mkoa huu ni Aksaray.
Wilaya za mkoani hapa [hariri]
Mkoa wa Aksaray umegawanyika katika wilaya 7 (wilaya kuu imekoozeshwa):
Viungo vya Nje [hariri]
- Aksaray's official web site
- High Resolution Pictures of the City
- Aksaray Weather Forecast Information
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||