Mkoa wa Çankırı
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Maeneo ya Mkoa wa Çankırı nchini Uturuki | |
|---|---|
| Maelezo | |
| Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
| Eneo: | 7388 (km²) |
| Idadi ya Wakazi | 273,089 TUIK 2007 (est) |
| Kodi ya Leseni: | 18 |
| Kodi ya eneo: | 0376 |
| Tovuti ya Gavana | http://www.çankırı.gov.tr |
| Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/çankırı |
Çankırı ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, ambao umelalia karibu kabisa na mji mkuu wa nchi, Ankara. Mji mkuu wake ni Çankırı.
W ilaya za mkoani hapa [hariri]
Mkoa wa Çankırı umegawanyika katika wilaya 12 (mji mkuu umekoozeshwa):
- Atkaracalar
- Bayramören
- Çankırı
- Çerkeş
- Eldivan
- Ilgaz
- Kızılırmak
- Korgun
- Kurşunlu
- Orta
- Şabanözü
- Yapraklı
Viungo vya Nje [hariri]
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Çankırı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |