Mkoa wa Konya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Konya
Maeneo ya Mkoa wa Konya nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 38,257 (km²)
Idadi ya Wakazi 2,412,104 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 42
Kodi ya eneo: 0332
Tovuti ya Gavana http://www.konya.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/konya


Konya ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wa mkoa huu ni Konya. Huu ni mkoa mkubwa kabisa katika Uturuki kieneo.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Konya umegawanyika katika wilaya 32 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Konya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.