Mkoa wa Hakkâri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Maeneo ya Mkoa wa Hakkâri nchini Uturuki | |
|---|---|
| Maelezo | |
| Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
| Eneo: | 7,121 (km²) |
| Idadi ya Wakazi | 272,566 TUIK 2007 (est) |
| Kodi ya Leseni: | 30 |
| Kodi ya eneo: | 0438 |
| Tovuti ya Gavana | http://www.hakkâri.gov.tr |
| Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/hakkâri |
Mkoa wa Hakkâri ni jina la mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Mji mkuu wake ni Hakkari..
[hariri] Wilaya mkoani hapa
Mkoa wa Hakkâri umegawanyika katika wilaya 4 (mji mkuu umekoozeshwa):
[hariri] Marejeo
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||