Mkoa wa Eskişehir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Eskişehir
Mkoa wa Eskişehir
Maeneo ya Mkoa wa Eskişehir nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 13,652 (km²)
Idadi ya Wakazi 741,739 (2008) TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 26
Kodi ya eneo: 0222
Tovuti ya Gavana http://www.eskişehir.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/eskişehir


Eskişehir (inatafsiriwa kama: mji wa kale) ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopatikana na mkoa huu ni pamoja na Bilecik kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kütahya kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kusini-magharibi, Konya kwa upande wa kusini, Ankara kwa upande wa mashariki, na Bolu kwa upande kaskazini. Mji mkuu wake ni Eskişehir.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Eskişehir umegawanyika katika wilaya 14:

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Eskişehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.