Mkoa wa Gaziantep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Gaziantep
Maeneo ya Mkoa wa Gaziantep nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo: 6,000 (km²)
Idadi ya Wakazi 1,426,816 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 27
Kodi ya eneo: 0342
Tovuti ya Gavana http://www.gaziantep.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/gaziantep


Gaziantep ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-kati mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni jiji la Gaziantep ambalo lina idadi ya wakazi 853,513 kwa sensa ya mwaka wa 2000. Mikoa ya jirani na mkoa huu ni pamoja na Adıyaman kwa upande wa kaskazini, Şanlıurfa kwa upande wa mashariki, Syria na Kilis upande wa kusini, Hatay kwa upande wa kusini-magharibi, Osmaniye kwa kupande wa magharibi na Kahramanmaraş kwa upande wa kaskazini-magharibi mwa nchi.

Wilaya za mkoani hapa[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Gaziantep umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Gaziantep kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.