Malaysia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Malesia)
Rukia: urambazaji, tafuta
مليسيا
Malaysia
Bendera ya Malaysia [[Picha:|110px|Nembo ya Malaysia]]
Bendera Nembo
Wito la taifa: Bersekutu Bertambah Mutu
("Umoja ni nguvu")
Wimbo wa taifa: "Negaraku"
Lokeshen ya Malaysia
Mji mkuu Kuala Lumpur1
3°08′ N 101°42′ E
Mji mkubwa nchini Kuala Lumpur
Lugha rasmi Kimalay
Serikali
Yang di-Pertuan Agong (Mtawala Mkuu)
Waziri Mkuu
Shirikisho, Ufalme
Sultan Mizan Zainal Abidin
Najib Tun Razak
Uhuru
kutoka Uingereza (Shirikisho la Kimalay pekee)
Shirikisho (na Sabah, Sarawak na Singapore2)

31 Agosti 1957
16 Septemba 1963
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
329,847 km² (ya 67)
0.3
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - 2000 sensa
 - Msongamano wa watu
 
26,888,000 (ya 44)
23,953,136
82/km² (ya 115)
Fedha Ringgit (RM) (MYR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
MST (UTC+8)
-- (UTC+8)
Intaneti TLD .my
Kodi ya simu +60
1 Putrajaya ni makao makuu ya serikali
2 Singapore ilikuwa nchi ya pekee tar. 9 Agosti 1965.


My-map.png

Malaysia ni nchi ya Asia ya kusini-mashariki kando la Bahari ya Kusini ya China. Kuna sehemu mbili ambazo ni

  • Malaysia Bara au Malaysia Magharibi kwenye Rasi ya Malay
  • Malaysia Kisiwani au Malaysia ya Mashariki kwenye kisiwa cha Borneo.

Upande wa rasi Malaysia imepakana na Uthai na Singapore. Sehemu ya Borneo imepakana na Brunei na Indonesia.

Kisiasa Malaysia ni shirikisho ya majimbo 13. Nchi ilianzishwa mwaka 1963 wakati Shirikisho ya Kimalay (Kimalay: Persekutuan Tanah Melayu) liliungana na Singapur, Sabah na Sarawak. Singapur iliondoka 1965 ikawa nchi ya pekee.

Majimbo ya Shirikisho [hariri]

Malaysia ni Shirikisho la Kifalme. Tisa kati ya majimbo yake 13 ni sultani chini ya utaratibu wa kifalme na manne hufuata muundo wa jamhuri.

Majimbo ya shrikisho ni kama yafuatayo.

Tisa sultani zinazoongozwa na Sultani pamoja na waziri mkuu anayechaguliwa na bunge la jimbo:

Majimbo manne chini ya gavana anayeteuliwa na serikali kuu na waziri mkuu anayechaguliwa na bunge la jimbo:

Maeneo matatu ya shirikisho:

Viungo vya Nje [hariri]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.


BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Malaysia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.