Sarawak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maporomoko ya maji ndani ya mji wa Sarawak
Sarawak


Sarawak ni jimbo mojawapo kati ya 13 yanayounda shirikisho la Malaysia; liko kaskazini mwa kisiwa cha Borneo pamoja na jimbo la Sabah, wakati majimbo mengine yote yako Asia bara.

Mji mkuu ni Kuching wenye wakazi 579,900.

Miji mingine mikubwa zaidi ni Sibu (wakazi 254,000), Miri (Wakazi 263,000) na Bintulu (wakazi 176,800).

Hakuna dini wala kabila kubwa lenye watu zaidi ya asilimia 50 katika eneo lote.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: