Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanachama za Jumuiya ya Nchi za KiarabuKijani nyeusi: wakazi wengi hutumia KiarabuKijani nyeupe: maeneo ya nchi wanachama ambako wenyeji hawatumii Kiarabu kama lugha ya kwanzakijani milia:wasemaji wa Kiarabu ni wachache; katika Jibuti, Somalia na Komori si lugha rasmi ya serikali
Wanachama za Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Kijani nyeusi: wakazi wengi hutumia Kiarabu
Kijani nyeupe: maeneo ya nchi wanachama ambako wenyeji hawatumii Kiarabu kama lugha ya kwanza
kijani milia:wasemaji wa Kiarabu ni wachache; katika Jibuti, Somalia na Komori si lugha rasmi ya serikali

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni ushirikiano wa nchi za Afrika ya Kaskazini na Asia ya Magharibi. Ilianzishwa na nchi zinazokaliwa hasa na Waarabu. Imepokea pia nchi kama Komori zisizotumia Kiarabu kama lugha rasmi.

Nchi wanachama ni (pamoja na tarehe ya kujiunga):

[hariri] Nchi zilizoanzisha jumuiya

[hariri] Nchi zilizojiunga baadaye

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Jumuiya ya Nchi za Kiarabu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi