Giacomo Puccini
Mandhari
Giacomo Antonio Domenico Michele Secondo Maria Puccini (alizaliwa mjini Lucca, 23 Desemba 1858 - mjini Brussels, 29 Novemba 1924) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Italia. Yaaminika kwamba Puccini ni wa pili kwa umaarufu katika opera baada ya mtunzi mashuhuri wa awali Bw. Giuseppe Verdi. Alitunga opera 14, ambazo nyingi kati ya hizo zinatumika leo hii katika majumba ya opera.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://w3.rz-berlin.mpg.de/cmp/puccini.html Ilihifadhiwa 10 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.
- http://www.operapaedia.org/Home.aspx Ilihifadhiwa 16 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Centro Studi di Giacomo Puccini
- Festival Puccini e la sua Lucca
- Encyclopaedia Britannica, Giacomo Puccini
- Puccini cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Free scores by Giacomo Puccini katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Manon Lescaut Ilihifadhiwa 17 Februari 2007 kwenye Wayback Machine. MP3 Creative Commons Recording
- Puccini's music in movies Ilihifadhiwa 10 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- Free MP3 Puccini's operas Ilihifadhiwa 22 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Shughuli au kuhusu Giacomo Puccini katika maktaba ya WorldCat catalog
- Giacomo Puccini ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giacomo Puccini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |