Antakya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antakya

Antakya ni mji (na wilaya) uliopo katika Mkoa wa Hatay kwenye Kanda ya Mediteranea nchini Uturuki. Zamani ulijulikana kama Antiokia ya Syria.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Antakya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.