Adalar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Wilaya ya Adalar

Adalar (pia: Prens Adaları, Kiing. Princes' Islands) ni sehemu ya jiji la Istanbul kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki.

Ni sehemu ya visiwa ndani ya Bahari ya Marmara na jina la Kituruki linamaanisha pia "visiwa". Kuna visiwa vikubwa vinne Büyükada ("kisiwa kikubwa", km2 5.46(, Heybeliada (km2 2.4), Burgazada (km2 1.5) na Kınalıada (km2 1.3), pamoja na visiwa vidogo tano.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adalar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.