Aboud Jumbe Mwinyi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Aboud Jumbe)
Picha:Jumbe.jpg
Aboud Jumbe
Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa rais wa pili wa Zanzibar toka mwaka 1972 hadi 1982 alipojiuzulu.
Aboud Jumbe alizaliwa mwaka 1920 huko kisiwani Zanzibar ( Tanzania ).
| Alitanguliwa na Abeid Amani Karume |
Makamu wa Rais wa Tanzania 1972-1984 |
Akafuatiwa na Ali Hassan Mwinyi |
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aboud Jumbe Mwinyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |