Ziwa Lugongwe
Mandhari
Ziwa Lugongwe ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania.
Linapatikana kilomita 2 toka mji wa Utete, Wilaya ya Rufiji, mkoa wa Pwani.
Eneo la ziwa Lugongwe lina uoto wa miti ya asili uliozunguka mto na ziwa. Eneo hilo ni maarufu kwa kuuwa ndilo eneo lenye Utete-Rufiji Paradise Eco Resort, sehemu ya kivutio cha watalii wa ndani na nje. Utete Paradise Eco Resort inamilikiwa na watu binafsi wenye hati miliki ya eneo lakini limeifadhiwa kwa kutunza mazingira kwa ajili ya camping, hicking, picnick.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Lugongwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |