Ziwa Lugongwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Lugongwe ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania.

Linapatikana kilomita 2 toka mji wa Utete, Wilaya ya Rufiji, mkoa wa Pwani.

Eneo la ziwa Lugongwe lina uoto wa miti ya asili uliozunguka mto na ziwa. Eneo hilo ni maarufu kwa kuuwa ndilo eneo lenye Utete-Rufiji Paradise Eco Resort, sehemu ya kivutio cha watalii wa ndani na nje. Utete Paradise Eco Resort inamilikiwa na watu binafsi wenye hati miliki ya eneo lakini limeifadhiwa kwa kutunza mazingira kwa ajili ya camping, hicking, picnick.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]