Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, Tanzania (Kiingereza: Ministry of Higher Education, Science and Technology kifupi (MHEST)) ni wizara ya serikali inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.