Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Tanzania (kwa Kiingereza: Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training) kifupi ni wizara ya serikali inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu, elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini Tanzania pamoja na mafunzo ya ufundi.
Ofisi kuu ya wizara hii ipo mjini Dodoma.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ministry, Contact us". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-21. Iliwekwa mnamo 2018-06-12.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Elimu ya Tanzania
- Serikali ya Tanzania
- Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
- Wizara za Serikali ya Tanzania
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Ministry of Higher Education, Science and Technology Ilihifadhiwa 13 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- Tanzania Commission for Science and Technology - COSTECH Ilihifadhiwa 20 Mei 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |