Polynesia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wapolinesia)
Polinesia (kutoka Kigiriki: πολύς, polius, vingi, + νῆσος, nesos, kisiwa, yaani visiwa vingi) ni eneo la visiwa 1,000 hivi katika Pasifiki ya kati na kusini.
Laenea kati ya Hawaii, Nyuzilandi na Kisiwa cha Pasaka. Eneo hili laitwa "Pembetatu ya Polinesia".
Visiwa vya Polinesia
[hariri | hariri chanzo]Visiwa na funguvisiwa zifuatazo ni sehemu za Polynesia: Nchi huru Visiwa vya Cook nchi inayoshirikana na Nyuzilandi Kiribati (nchi huru) Nyuzilandi (nchi huru) Niue nchi inayoshirikana na Nyuzilandi Samoa (nchi huru) Tonga (nchi huru) Tuvalu (nchi huru) Maeneo yaliyo chini ya nchi za nje Samoa ya Marekani Eneo la ng'ambo la Marekani Polinesia ya Kifaransa Eneo la ng’ambo la Ufaransa Hawaii Jimbo la Marekani Kisiwa cha Pasaka Eneo la ng’ambo la Chile Pitcairn Eneo la ng’ambo la Uingereza Tokelau Eneo la ng’ambo la Nyuzilandi Wallis na Futuna Eneo la ng’ambo la Ufaransa Maeneo ya nchi za Polynesia nje ya Pembetatu ya Polynesia Anuta Eneo la Visiwa vya Solomon Emae Eneo la Vanuatu Kapingamarangi Eneo la Shirikisho la Mikronesia Mele Eneo la Vanuatu Nuguria Eneo la Papua Guinea Mpya Nukumanu Eneo la Papua Guinea Mpya Nukuoro Eneo la Shirikisho la Mikronesia Ontong Java Eneo la Visiwa vya Solomon Pileni Eneo la Visiwa vya Solomon Rennell Eneo la Visiwa vya Solomon Sikaiana Eneo la Visiwa vya Solomon Tikopia Eneo la Visiwa vya Solomon Takuu Eneo la Papua Guinea Mpya
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|