Christchurch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christchurch / Ōtautahi

Mji wa Christchurch (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Canterbury
Anwani ya kijiografia Latitudo: 43°34′48″S - Longitudo: 175°37′13″E
Kimo 920 m juu ya UB
Eneo 1,426 km²
Wakazi 376,700 (mji pekee)
390,300 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 264.2 (mji pekee) kwa km²
Simu +64 (nchi), 03 (mji)
Mahali

Christchurch (Kimaori: Ōtautahi) ni mji mkubwa na mji mkubwa wa pili wa New Zealand mwenye wakazi 376,700 (2010). Iko upande wa kusini wa kisiwa. Uneo lake ni 1,426 km². Mji ulinazishwa mwaka 1848. Upande wa mashariki ni maji ya Pasifiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]



Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.